top of page

MUHTASARI

Masomo Bunifu ya Biblia

 

- Masomo yametungwa kwa kumwangalia Mungu kulingana na habari ya     Agano la Kale na Agano jipya

- Mbinu za ufundishaji zinalingana na uwezo na uelewa wa rika tatu za       watoto

- Muhtasari huu umepangwa kwenye mfululizo wa muda wa miaka nane,   kila mwaka una masomo 52 kwa kuzingatia mada kuu husika.

- Kuna masomo mbalimbali kuhusu Krismasi, Pasaka na Pentekoste.

- Zana za kufundishia na mapendekezo ya kazi mbalimbali darasani           zinasaidia kuwashirikisha watoto kwenye ufundishaji.

 

 

Somo & Zana za kufundishia

 

Bonyeza hapa ili kuona mfano wa somo na zana za kufundishia.

Bonyeza hapa ili kuona orodha ya vitabu.

 

 

Mifano ya kusoma (Mwaka wa 1)

 

Watoto Wadogo

wa umri 4-6

Masomo kwa muda wa miaka 2

Watoto wa kati

wa umri 7-9

Masomo kwa muda

wa miaka 3

Watoto wakubwa

wa umri 10-12

Masomo kwa muda

wa miaka 3

bottom of page